Degree offered
B.A, KISWAHILI,
M. A
and PhD
capacity for first degree for 2018/2019 , 300 Student
Karibu usome shahada ya BA kiswahil yenye fursa ndani na nje ya nchi. Ni kozi yenye soko kwa sasa kulingana na kuzidi kukua na kuimarika kwa Kiswahil Duniani,
Tembelea tovuti ya UDSM kwa Maelezo zaidi, my whatsapp number +255766605392, Au ingia Hapa