Uncategorized

KUPATWA KWA JUA 2016 NA MATUKIO MENGINE MUHIMU

jua litapatwa tarehe 9 march, mwaka huu tukio hili litaonekana northern east mwa bahari ya Hindi hadi mashariki mwa bahari ya PASIFIC, TAREHE 9 May, MERCURY itapitia jua tukio hili litaonekana MAGHARIBI mwa ASIA , ULAYA, AFRICA , AMERIKA YA KUSINI, NA kaskazini mwa OCEANIA , tarehe 1 september, jua litapatwa kipete tukio hili lita onekana katikati mwa Atlanitic ocean, Gabon, DRCONGO, TANZANIA, MSUMBIJI, MADAGASCAR,na mashariki mwa bahari ya HINDI, tarehe 23 march, 8 agost, na 16 sept mwezi utapatwa lakini utakuwa katika kivuli dhaifu(partial shadow) kwahiyo sio rahisi kuonekana lakini utaona mwezi umepungua mwanga wake, asante share katika social network, facebook, &twiter

Uncategorized

MASKINI : MCHEZAJI STAA WA IVORY COAST AFIA MTONI,

siku chache baada ya ulimwengu wa soka kupokea taarifa ya vifo wa wachezaji wawili staa wa zaman wa HONDURAS, ARNOLD, NA MCHEZAJI WA EL SALVADOL taarifa za mchezaji mwingine wa ivorcoast STEVE AGOURI ambaye ni beki wa timu ya taifa ya miamba hao wa afrika pia alisha wahi kuchezea WIGAN ATHELTC YA ENGLAND tangu 2010-2012 timu ya taifa 2006-2010 , baada ya kuripotiwa kupotea amekutwa katika mto RHINE ujerumani tayari ameaga dunia,
by EMANUEL .G. MASHELE(EGM)