HERI YA MWAKA MPYA, HEAD LINE YA MWAKANI NI UCHAGUZI MKUU WA MAREKANI
Month: December 2015
INGIA KU SIKILIZA NGOMA MPYA YA#YEMI ALADE
aliyo imba kwa kiswahili> http://millardayo.com/yeialc203/
MANCHESTER CITY WAMEFANYIWA HIVI
KATIKA MCHEZO ULIO PIGWA : katika dimba la EMIRATES, manchester city wamekubali kipigo cha bao 2 kwa 1 kutoka kwa ARSENAL magoli ya arsenali yametiwa wavuni na THEO WELCOT na GEROUD OLIVER, huku man city wakifutiwa machozi na YAYA NGANGAR TOURE
HUYU HAPA MRITHI WA MORINHO CHELSEA, KIONGERA, MAJEGWA, NA DIEGO VIPI?
HUYU HAPA MRITHI WA MORINHO CHELSEA, KIONGERA, MAJEGWA, NA DIEGO VIPI?
baada ya jose morinho kupigwa kalamu wengi wa mashabiki wanajiuliza nani atakalia kiti chake? NI KOCHA BORA, hi ni kwa zababu chelsea inataka kunusurika mkiani. KUHUSU KIONGERA, MAJEGWA, NA DIEGO NI RUKSA KUCHEZA JUMAMOSI HII
USAJILI MPYA YANGA , MBEYA CITY, NA MTIBWA
YANGA wamemsajili PAUL NONGA kutoka mwadui ya shinyanga huku MBEYA CITY wakimsajili RAMADHANI REDONDO pia MTIBWA wamemsajili KELVIN FRIDAY kutoka AZAM fc
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015/16
MAJENGO SEC, KISHAPU SEC, MLAMBAI SEC, NYERERE SEC, MKUU SEC, TABORA BOYS, HOROMBO, LALAGO SEC, UHURU SEC, KELAMFUA SEC, SHIMBI SEC, ISONGOLE SEC, KANAWA SEC, MWANZA SEC, KILIMANJARO BOYS, TUKUYU SEC , LUFYALO, NA SHULE ZOTE ZA DAR KUPATA MATOKEO INGIA TOVUTI YA > http://www.necta.go.tz
FORM FOUR EXAM RESULT 2015/2016
pleace click the linck bellow or can call us . click http://www.necta.go.tz or 0766605392
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015/2016
matokeo ya kidato cha nne waliofanya mtihani 2015 haya hapa shule zote PINDI TU MATOKEO YATAKAPO TANGAZWA USISITE KUTEMBELEA HAPA CLICK http://www.necta.go.tz au 0766605392
UEFA CHAMPION’S LIGUE 16
Source: UEFA CHAMPION’S LIGUE 16