Uncategorized

DUMISHA AMANI

tuidumishe amani
hapa kwe2 nchini
2cje 2kaingia balaani
kupigana mitaani

2. wakati wa kampeni
kuweni na umakini
msiingie vuruguni
mkajitia kitanzini
tudumisheni amani

3.siku ya uchaguzini
usiingie mapiganoni
tukakupeleka kaburini
ukimaliza kura kiboksni
rudi kwako nyumbani
2idumishe amani

4,epukeni ulaghai
eti kuazishafujo
mkatuweka matatani
aman mkaivuruga
2dumisheni amani

5. walio na maskio wamdsikia,
nao watazingatia,
walo kiburi watapuuzia
yote tisa amani TANZANIA .e email masshelefmanuel@gmail.com