Uncategorized

TAHARUKI HATAAARI MWANAUME!,

kutoka kishapu , habari zilizo tufikia hvikaribuni katika usiku wakuamkia tarehe tisa almanusura bweni la shule hiyo lishike moto baada ya shoti iliyotokea na kusababisha soket breka kushika moto na kuanza kuwaka , lakini moto huwo ulifanikiwa kuzimwa mapema , source @ mwandishi wetu mkoa wa shinyanga